IWAPO UMEANZISHA THREAD (UZI) JAMIIFORUMS, NA THREAD YAKO IKATIWA KAPUNI NA MODS. JIBU LAKO LIPO KWENYE BLOGU HII. TUPIA UZI HUO ILI TUUWEKE OPENLY TUPIA KWA EMAIL: jamiiforumsblog@gmail.com

Wengine Wanasemaje?

Saturday, May 12, 2012

Jamii Forums Kufungwa Tena?????


Siku zote huwa inabadilishwa lakini haiendi down kwa muda mrefu hivi?? Je kuna nini?? au mafisadi washainunua??

Hii ndivyo inavyosomeka sasa
TAARIFA MUHIMU: Kuanzia Mei 12 hadi Mei 15 tutakuwa na marekebisho makubwa kwenye tovuti hii. Endapo hutotupata, fuatilia yanayojiri kupitia FikraPevu au JamiiForums on Facebook na JamiiForums on twitter TAFADHALI, ILI UTUPATE VEMA USITEMBELEE UKURURASA HUU HADI BAADA YA MASAA 5 YAJAYO

0 comments:

Post a Comment